WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

ALL-KENYANS - Topics
Create Your Own App Store

* ALL-KENYANS > Topics


Subject: Ujinga ni...
Replies: 16 Views: 5750

mwenyeji 11.09.11 - 08:53pm
Discuss...

Ujinga ni kueka sura ya kazi na uko jobless.
Ujinga ni kulala njaa na uko na manzi ameiva kwa bed.

*

mwenyeji 11.09.11 - 08:59pm
Ujinga ni kuambia kiwete akanyagie story. *

mwenyeji 11.09.11 - 09:02pm
Ujinga ni kudhani WESTERN UNION ni chama ya waluhya. *

kanono 12.09.11 - 05:56pm
Ujinga ni kupata mende kwa nyumba ya kidum *

pinchz98 12.09.11 - 06:01pm
Ujinga nikutembea mguu tupu na manzi yako ni kiatu.pahahahest *

mwenyeji 12.09.11 - 06:02pm
Ujinga ni kutembea mguu chuma na manzi yako ni kiatu. *

pinchz98 12.09.11 - 06:03pm
Ujinga nikudhani burning spear ni bro ya britney spears and shake spear ndo baba yao. *

ddrogba 12.09.11 - 06:20pm
Ujinga ni kutumia soap ya USHINDI na we ni fan wa a*senali...hehe.I jst had to say that,,akina fixar,kijana..haha *

kijanna 13.09.11 - 07:26pm
Ujinga ni 12 kenyans lettin emselves 2 be killed by a drink kald Yokuzuna... *

mwenyeji 15.09.11 - 12:27am
Ujinga ni kuuliza mukurino bado kichwa hajapona? *

achieng 15.09.11 - 05:32pm
Ujinga ni kudhani lewa marathon ni compe ya kukunywa tei mpaka ngware *

mwenyeji 24.09.11 - 01:49pm
Ujinga ni admin kuchuja watu juu ya ku-speak their minds. *

slyr0x 24.09.11 - 03:06pm
msaani kubeba guitar ndo atambulike ni msaani kwani makuro hubeba vitanda *

edweena 24.09.11 - 10:31pm
Ujinga ni huyu mlami kutake over hii grulenje na hanyiti venye kunago..nangoja anichuje *

mwenyeji 26.09.11 - 06:22am
Ujinga ni kusema XAVI na Alicia KEYS ni relatives. *

mwenyeji 28.09.11 - 12:10pm
Ujinga ni kuitwa Job Bridge ndio ushinde siku nzima kupiga story. *


* Reply
* ALL-KENYANS Forum


Search:
topics replies


* ALL-KENYANS

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store